Kwa miaka mingi ya kusubiri sasa ndo ule wakati ambao tuliusubiria, Kituo cha Golden Chance Fm kinawatangazia watu wote wanaopenda kuifanya biashara yao inafika mbali kuwa sasa Kituo hicho kitaanza kupokea matangazo ya Biashara, Ambapo kwa siku za hivi Karibuni itakuwa inatoa Ofa ya matangaza kwa kiasi cha Elfu 50 kwa miezi mitatu, na baada ya hapo Mteja atatakiwa kuongeza mkataba rasmi mala baada ya kutamani kuendelea Kufanya Matangazo hayo.
IMetolewa na Mkurugenzi Mkuu
wa Golden Chance Fm
Mhe: ELIKANA FELIX BATONA